Mimi ni kijana Mwenye malengo na mchapakazi,Podcast yangu itahusu Mawazo ,Matukio,Ubunifu na Msukumo!
AfisaAfya ni podcast pekee ya lugha ya Kiswahili itakayokuwa inawaletea mada, mijadala na mahojiano kuhusu afya ya mwanadamu na jinsi ambavyo afya zetu zinaweza kuathiriwa na...
Mada hii inazungumzia hukumu ya iddi ya kuchinja na hukumu zake na upotovu wa wanao funga siku ya iddi.
Mada hii inazungumzia qiyamu layli,ubora wake na namna ya kuswali,na ulazima wa kuwali kisimamo cha usiku.
Mada hii inazungumzia fadhila za swaumu,na dalili zilizo kuja kueleza ubora wa swaumu,na nguvu za swaumu katika kuziwiya madhambi.
Mada hii inazungumzia sherehe ya kitabu cha tawhidi,na uwajibu wa kumswalia mtume,na namna ya kumswalia mtume,na fadhila za ahlul baiti,na ubatilifu wa itikadi ya mashia.matusi ya...
Mada hii inazungumzia uongozi katika uislam,na umuhimu wa uongozi,na matatizo ya misikitini na tasisi za kislam,na dalili ambazo zimekuja kuzungumzia uongozi,mifano hai ya uongozi...
Mada hii inazungumzia mwelekeo wa mwanadamu na uwajibu wa kujitambua,na udhalili wa mwanadamu,na udanganyifu wa dunia.