Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Taarifa ya Habari 21 Februari 2023
21/02/2023 Duration: 16minSerikali ya Queensland inawasilisha sheria mpya tata, yakuchukua hatua kali dhidi ya watoto wahalifu wanao kiuka masharti ya dhamana yao.
-
Allan "napewa heshima sana Bathurst baada ya ushindi wa wakenya"
21/02/2023 Duration: 07minMji wa Bathurst, NSW kwa mara ya kwanza katika historia ulikuwa mwenyeji wa mbio za nyika za dunia.
-
Taarifa ya Habari
19/02/2023 Duration: 20minMji wa Melbourne unatarajiwa kufungua hospitali ya kwanza nchini Australia inayotibu magonjwa ya moyo.
-
Jinsi yakulinda hazina yako yakustaafu, kupata super yako iliyo potea na chakufanya ukihamia ng'ambo
19/02/2023 Duration: 13minMfumo wakustaafu wa Australiam unahitaji malipo ya kila wakati ya lazima, ndani ya mfuko wako wa malipo ya uzeeni.
-
Taarifa ya Habari
12/02/2023 Duration: 18minSerikali ya shirikisho imesema nyongeza ya bei ya umeme haitakuwa mbaya kama ilivyo hofiwa kabla. Mweka hazina wa taifa Jim Chalmers amesema kuingilia kati kwa serikali katika soko la nishati kunatoa afueni kwa nyumba nyingi.
-
Hoja ya the Voice yamwondoa Seneta Lidia Thorpe katika chama cha Greens
09/02/2023 Duration: 08minSeneta maarufu wa chama cha Greens amejiuzulu kutoka chama chake, kwa ajili yakufuatilia uhuru wa weusi.
-
Taarifa ya Habari 20 Disemba 2022
20/12/2022 Duration: 19minWaziri wamaswala yakigeni Penny Wong ame ondoka mjini Canberra, akienda kukutana na mshiriki wake wa China Wang Yi kwa majadiliano baina ya nchi hizo mbili.
-
Nini chakufanya kama unapotea ukitembea msituni
20/12/2022 Duration: 10minNchini Australia, mtu anaye tembea msituni huokolewa kila siku.
-
Prof Kitwaja: "Afrika lazima ijipange vizuri ili inufaike kupitia uhusiano wake na Marekani"
19/12/2022 Duration: 06minMkutano wa Viongozi wa Marekani na Afrika, ulikuwa na mambo mengi ya kuridhisha na makubwa, malengo ya bilioni ya dola, pamoja na taarifa kwamba rais wa Marekani atalitembela bara hilo.
-
Taarifa ya Habari 18 Disemba 2022
18/12/2022 Duration: 16minMoto wa vichaka waendelea kutisha maisha na mali zawakaaji katika maeneo kadhaa ya Magharibi Australia, mamlaka wakiendeleza juhudi zaku udhibiti.
-
Haki zako za utunzaji wa wazee nchini Australia, na jinsi yakufanya malalamishi
15/12/2022 Duration: 12minNchini Australia, kuna haki 14 zinazo linda kila mtu anae pokea huduma yawazee inayo wekezwa na serikali, iwapo ni nyumbani au katika kifaa cha makazi.
-
Taarifa ya Habari 13 Disemba 2022
13/12/2022 Duration: 19minMuungano wa ujuzi wa madini na nishati wa Australia, (AUSMESA) utaongoza njia kushughulikia uhaba wa ujuzi katika sekta mhimu za rasilimali namagari.
-
Athiei na Akram "Ushindi wa Morocco ni ushindi wa bara zima la Afrika"
12/12/2022 Duration: 09minHistoria inaendelea kuandikwa nchini Qatar, ambako timu ya mpira wa miguu yawanaume ya Morocco inaendelea kuwaacha wachambuzi na wadau wa soko vinywa wazi.
-
Taarifa ya Habari 11 Disemba 2022
11/12/2022 Duration: 22minWaziri wa nishati wa shirikisho Chris Bowen ametupilia mbali dokezo zozote kuwa mpango wa nishati wa serikali unaweza chochea ongezeko la mfumuko wa bei.
-
Musoni "Mwaka huu GLAPD imebadili maisha ya vijana wengi"
10/12/2022 Duration: 10minShirika la GLAPD limekuwa likitoa huduma kwa jamii zawatu kutoka ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, zinazo ishi nchini AUstralia kwa zaidi ya miaka sita.
-
Bw Kisimba afunguka kuhusu umuhimu waku andalia jamii yawa Afrika sherehe ya krismasi
10/12/2022 Duration: 10minMwisho wa mwaka unapo karibia sherehe zakila aina huandaliwa kote duniani kwa sababu tofauti.
-
Morrocco yapeperusha bendera ya Afrika kwa fahari katika kombe la dunia
08/12/2022 Duration: 06minMichuano ya kombe la dunia ilipoanza, bara zote za dunia zilikuwa na wawakilishi.
-
Nyoka wa Australia na Buibui: Nini chakufanya ziki kuuma
06/12/2022 Duration: 12minKinyume na imani maarufu, visa vingi vyaku umwa na buibui nchini Australia, husababisha madhara madogo, na visa vya wanao umwa na nyoka wenye sumu ni nadra pia.
-
Taarifa ya Habari 6 Disemba 2022
06/12/2022 Duration: 15minWaziri mkuu atupilia mbali madai kuwa haja toa taarifa, kwa washirika wake kwa mpango wakupunguza bei ya nishati.
-
Socceroos waaga kombe la dunia kibabe
05/12/2022 Duration: 06minMatumaini ya mashabiki wa timu ya taifa ya Australia inayo julikana kwa jina la "Socceroos" kucheza katika robo fainali, yame gonga mlinda lango wa Argentina Emiliano Martinez.