Sbs Swahili - Sbs Swahili

Socceroos waaga kombe la dunia kibabe

Informações:

Synopsis

Matumaini ya mashabiki wa timu ya taifa ya Australia inayo julikana kwa jina la "Socceroos" kucheza katika robo fainali, yame gonga mlinda lango wa Argentina Emiliano Martinez.