Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Taarifa ya Habari 4 Disemba 2022
04/12/2022 Duration: 20minSerikali ya Albanese yatarajiwa kuwasilisha mipango kwa serikali zamajimbo na mikoa kwa lengo laku punguza bili za nishati kwa kuweka kikomo kwa bei ya makaa yamawe yanayo uzwa nchini.