Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Taarifa ya Habari 2 Aprili 2023
02/04/2023 Duration: 17minKiongozi wa Victoria amesema kushindwa kwa chama cha Liberal katika chaguzi dogo la Aston, kume onesha wapiga kura wanaendelea kutupilia mbali aina chafu ya siasa.
-
Albanese aunga mkono ongezeko ya mshahara kwa wafanyakazi wa pato la chini
02/04/2023 Duration: 08minSerikali ya shirikisho imependekeza wafanyakazi wenye pato la chini nchini Australia, waongezewe mshahara ila, serikali haija sisitiza kuwa ongezeko hilo la mshahara liwe sambamba na mfumuko wa bei.
-
George "Kenya iko katika hatari yakutokomea"
29/03/2023 Duration: 11minJiji la Nairobi, Kenya kwa mara nyingine lime shuhudia mapambano makali kati ya jeshi la polisi na waandamanaji wanao taka serikali ishughulikie ongezeko la gharama ya maisha.
-
Taarifa ya Habari 28 Machi 2023
28/03/2023 Duration: 18minMazungumzo kati ya serikali ya shirikisho ya Labor na chama cha Greens, yanaendelea kuhusu muswada wa mfuko wa uwekezaji wa usoni wa nyumba nchini Australia. Chama cha Greens na wabunge wengine huru, wameomba muswada huo uimarishwe kwa uwekezaji wa ziada kwa nyumba zajamii nawapangaji.
-
Labor yashinda uchaguzi wa NSW, nakusitisha miaka 12 katika upinzani
28/03/2023 Duration: 08minLabor imekamilisha kinacho julikana kama ushindi thabiti wakisiasa katika bara zima la Australia, baada ya matokeo ya uchaguzi wa New South Wales.
-
Ramadan na Eid ni nini na huwa zina adhimishwa aje nchini Australia?
27/03/2023 Duration: 10minJe! ushawahi jiuliza umuhimu wa Ramadan na Eid ni nini katika utamaduni waki Islamu? Na sherehe hizi zina umuhimu gani kwa marafiki, majirani na watu unao fanyakazi nao ambao niwa Islamu?
-
Taarifa ya Habari 26 Machi 2023
26/03/2023 Duration: 20minJimbo la Kusini Australia limekuwa jimbo la kwanza nchini, kutunga sheria kwa uwepo wa sauti yawa Australia wakwanza bungeni.
-
Esther "bado tuna kazi ya ziada katika harakati zakutetea haki za wanawake"
15/03/2023 Duration: 14minHarakati zakutetea haki za wanawake zime dumu kwa zaidi ya miaka 112, licha ya mafanikio ambayo wanaharakati wame pata bado wana hisi kuna kazi ya ziada katika kampeni yao.
-
Taarifa ya Habari 14 Machi 2023
14/03/2023 Duration: 19minMawaziri wa ngazi ya juu katika serikali yamadola, waongeza juhudi kutuliza wasiwasi kandani kuhusu Australia kupata manowari zinazo tumia nguvu ya nyuklia.
-
Jinsi yakupata leseni yakuendesha gari Australia
14/03/2023 Duration: 12minKuendesha gari hutoa uhuru na huongeza fursa zakupata kazi ila, shughuli hiyo huja pia na wajibu mkubwa waku hakikisha usalama barabarani.
-
Taarifa ya Habari 12 Machi 2023
12/03/2023 Duration: 18minWapiga kura wa NSW wakabiliwa kwa ahadi za hela kutoka kwa vyama vya siasa vinavyo wania uchaguzi wa 25 Machi 2023.
-
Leyla "wanawake wameleta maendeleo na utendaji bora katika uongozi"
08/03/2023 Duration: 07minWanawake kote duniani wana jumuika katika sherehe za siku yakimataifa ya wanawake.
-
Taarifa ya Habari 7 Machi 2023
07/03/2023 Duration: 18minWaziri Mkuu akataa kutenga gesi kwenye matumizi ya nishati, ili muswada wake uungwe mkono na chama cha Greens bungeni.
-
Ujuzi wa huduma ya kwanza unaweza okoa maisha, hivi ndivyo nasehemu yakupata mafunzo nchini Australia
07/03/2023 Duration: 12minWatu wengi huwa hawatarajii kuwa katika hali ya dharura, hadi wanapo jipata katika hali hiyo.
-
Taarifa ya Habari 5 Machi 2023
05/03/2023 Duration: 14minWaziri Mkuu aikosoa serikali ya NSW katika kampeni ya uchaguzi jimboni humo.
-
Jinsi yakupata matibabu kwa bei nafuu nchini Australia
02/03/2023 Duration: 10minRaia wa Australia, wakaazi wakudumu na wakimbizi wanaweza pata matibabu bure au kwa bei nafuu pamoja na madawa, kwa kujisajili katika mfumo wa Medicare, ambao ni mfumo wa huduma ya afya kwa wote.
-
Kifo cha Sharon J Kigen, cha itikisa jamii yawa Kenya kote nchini
01/03/2023 Duration: 12minTaarifa kuhusu kifo cha Sharon J Kigen, ime waacha jamaa na marafiki wake na huzuni isiyo elezeka.
-
Taarifa ya Habari 28 Februari 2023
28/02/2023 Duration: 18minSerikali ya shirikisho imetangaza mageuzi ya ushuru kwenye salio la juu ya malipo ya uzeeni. Kuanzia mwaka wa fedha wa 2025/2026, salio la zaidi ya dola milioni tatu, itatozwa ushuru wa 30% kutoka kiwango cha sasa cha ushuru wa 15%.
-
Wanafunzi wakimataifa nchini kukabiliwa kwa mageuzi ya haki za kazi
28/02/2023 Duration: 05minIdadi ya masaa ambayo wanafunzi wakimataifa nchini Australia wanaweza fanya kazi chini ya masharti ya viza zao itabadilika kuanzia Julai.
-
Taarifa ya Habari 26 Februari 2023
26/02/2023 Duration: 17minMweka hazina Jim Chalmers amesema serikali ya Australia haina uwezo wakufanya mengi kudhibiti mfumuko wa bei, ambao kwa sasa ni asilimia 7.8