Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Tim "bajeti ya leo itasaidia familia nyingi kukabiliana na gharama ya maisha"
10/05/2023 Duration: 08minMa milioni yawa Australia kote nchini wanasubiri kwa hamu tangazo la bajeti, kujua kama wata pata afueni kwa gharama ya maisha.
-
Taarifa ya Habari 9 Mei 2023
09/05/2023 Duration: 17minWaziri Mkuu Anthony Albanese amesema bajeti ya serikali yake inazidi makadirio yakiuchumi, kutoka serikali ya zamani ya mseto na itatoa afueni fanisi kwa gharama ya maisha kwa familia.
-
Tunaweza tarajia nini katika bajeti ya taifa ya 2023?
09/05/2023 Duration: 08minSerikali ya shirikisho ita toa bajeti ya 2023-24 hii leo Jumanne 9 Mei 2023.
-
Kutawazwa kwa Mfalme Charles III kwa pokewa kwa hisia mseto
08/05/2023 Duration: 12minWatu kote duniani wame shuhudia kutawazwa kwa Mfalme Charles III.
-
Taarifa ya Habari 7 Mei 2023
07/05/2023 Duration: 18minZaidi ya idadi ya nyumba milioni tano nchini pamoja na biashara ndogo milioni moja, zitapata afueni ya $500 kwa bili za nishati katika bajeti ya shirikisho ya Mei 9.
-
Muundo mpya wasema wadhibiti wanastahili fanya biashara ya umeme iwe rahisi kwa watumiaji
04/05/2023 Duration: 09minMuundo mpya wa data iliyopo, imetoa taswira ya siku zijazo ambako, kila paa ya nyumba itakuwa na kifaa cha solar, hatua ambayo itawaruhusu wa Australia kufanya biashara ya umeme nakupiga jeki bajeti za nyumba zao.
-
Taarifa ya Habari 2 Mei 2023
02/05/2023 Duration: 19minSerikali ya shirikisho imedokeza uwezekano wakuongeza kiwango cha malipo ya Jobseeker katika bajeti ya wiki ijayo kwa wanao ipokea ambao wana zaidi ya miaka 55.
-
Nini hutokea unapo ripoti kesi ya ubakaji kwa polisi nchini Australia?
01/05/2023 Duration: 13minNchini Australia, ukatili wakijinsia ni kosa la jinai, kama umelazimishwa, umetishwa, au umedanganywa kufanya tendo lakingono dhidi ya hiari yako, unaweza taka ripoti tendo hilo kwa polisi ili aliyefanya tendo hilo afunguliwe mashtaka. Hata hivyo, mchakato huu unaweza kuwa mgumu sana kisheria nakihisia. Hivi ndivyo unastahili tarajia.
-
Taarifa ya Habari 30 Aprili 2023
30/04/2023 Duration: 18minKutakuwa maboresho mhimu katika bajeti ya Mei, waziri wa fedha aeleza taifa.
-
Maelfu watoa heshima zao kwa walio hudumu katika jeshi
26/04/2023 Duration: 09minMaelfu ya watu wame jumuika kote nchini Australia na ng’ambo kuadhimisha ANZAC Day.
-
Taarifa ya Habari 25 Aprili 2023
25/04/2023 Duration: 15minWa Australia wameshiriki katika ibada za alfajiri za Anzac Day, pamoja na gwaride kuwaenzi walio hudumia nchi yao. Mwaka huu ni maadhimisho ya miaka 108 ya kampeni ya Gallipoli, katika vita vya kwanza vya dunia nchini Turkiye.
-
Taarifa ya Habari 23 Aprili 2023
23/04/2023 Duration: 15minWaziri wa Fedha Katy Gallagher amesema swala la nyumba za bei nafuu kwa wanawake katika umri wa miaka 55 na juu, litashughulikiwa katika bajeti ya shirikisho ijayo
-
Wanajeshi wazamani wa Papua New Guinea, ambao jamaa wao wanataka wakumbwe katika siku ya ANZAC
23/04/2023 Duration: 07minHuduma yawanajeshi wa Australia nchini Papua New Guinea, kama kampeni ya Kokoda Trail, inajulikana vizuri.
-
Ezra "Australia imetupa fursa zakutumia talanta zetu"
20/04/2023 Duration: 09minWanachama wa shirika la Kitwek wa Perth, Magharibi Australia hivi karibuni, walijumuika katika hafla maalum iliyo andaliwa na viongozi wa shirika hilo.
-
Jinsi yakujilinda dhidi ya wizi wa utambulisho nchini Australia
19/04/2023 Duration: 14minUhalifu wa utambulisho ni tisho kubwa nchini Australia, ambako kuna ongezeko ya idadi ya watu wanao endelea kuwa waathiriwa wa uhalifu wa utambulisho kila mwaka.
-
Taarifa ya Habari 18 Aprili 2023
18/04/2023 Duration: 18minWaziri wa National Disability Insurance Scheme almaarufu NDIS, ametoa hotuba katika klabu ya waandishi wa habari wa taifa, kuelezea umuhimu wakufanya mageuzi katika mfumo huo.
-
Victor "tuna mipango maalum kwa vijana wa Kitwek"
18/04/2023 Duration: 06minNi jambo la kawaida kwa jamii nyingi kuanzisha shirika, linalo wawakilisha nakutoa huduma wanazo hitaji nje ya huduma zinazo tolewa na mashirika makubwa.
-
Taarifa ya Habari 16 Aprili 2023
16/04/2023 Duration: 18minSauti yawa Australia wa kwanza ndani ya katiba, itasaidia jamii zawa Australia wa kwanza kuishi maisha kikamilifu seneta wa Labor wa Wilaya ya Kaskazini aeleza vyombo vya habari.
-
Taarifa ya Habari 11 Aprili 2023
11/04/2023 Duration: 18minKaimu Waziri Mkuu Penny Wong, na waziri wa biashara Don Farrell, wame thibitisha kuwa serikali ya shirikisho imefikia maafikiano na Beijing, kwa suluhu ya mgogoro wakibiashara wa shayiri.
-
Vikomo vya ongezeko ya kodi ya nyumba vyatupiliwa mbali NSW, wakati kodi zikiendelea kuongezeka Australia
11/04/2023 Duration: 06minWapangaji jimboni New South Wales hawata hisi maramoja afueni yoyote, kutoka ongezeko ya kodi baada ya kiongozi wa jimbo hilo Chris Minns kutupilia mbali kikomo kwa ongezeko za kodi.