Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Isaac Kisimba "JFSS inawapa watu wetu huduma zinazo stahili"
08/06/2023 Duration: 20minIdadi ya watu kutoka jamii zenye asili ya Afrika Mashariki na Kati , inaendelea kuongezeka nchini kila mwaka kulingana na takwimu za serikali.
-
Taarifa ya Habari 6 Juni 2023
06/06/2023 Duration: 18minSerikali ya Labor ya Magharibi Australia imekutana kupendekeza rasmi Roger Cook, awe kiongozi mpya wa jimbo hilo.
-
Kutunza Walezi: Jinsi yakupata huduma za usaidizi wa walezi nchini Australia
06/06/2023 Duration: 11minTakriban mtu mmoja kati yawatu tisa nchini Australia ni walezi, watu ambao huwa hudumia jamaa wao ambao ni wazee, wadhaifu, marafiki, au mtu anaye ishi na hali fulani ya afya au ulemavu.
-
Ushoga sasa waweza gharimu hukumu ya kifo Uganda
03/06/2023 Duration: 09minUganda imepitisha sheria kali dhidi ya kundi la watu wanao jitambua kama LGBTIQ+, hatua ambayo imevutia ukosoaji mkali kutoka mataifa ya magharibi pamoja wana harakati barani Africa.
-
Taarifa ya Habari 30 Mei 2023
30/05/2023 Duration: 20minKampuni moja iliyopewa kandarasi imesimamishwa kushiriki katika miradi yote kubwa ya reli, baada yaku kumbwa kwa kasha ya utapeli jimboni Victoria.
-
Jinsi yakupata nyumba ya kukodi Australia
30/05/2023 Duration: 11minSasa hivi, kuna chini ya nyumba 50,000 za kukodisha kote nchini. Miaka mbili iliyopita, idadi ya nyumba hizo ilikuwa karibu mara mbili.
-
Taarifa ya Habari 28 Mei 2023
28/05/2023 Duration: 20minWiki ya Maridhiano ya Kitaifa imeanza kote nchini na wanaharakati wamesema, tukio la mwaka huu ni mhimu haswa kwa sababu ya kura ya maoni ijayo kwa sauti yawa Australia wa kwanza bungeni.
-
Wito wa kuunga mkono kura ya Voice waongezwa katika siku ya National Sorry Day
28/05/2023 Duration: 08minMiaka sita baada ya kutangazwa kwa Kauli ya Uluru kutoka moyoni, viongozi wa jamii ya kwanza na serikali kwa mara nyingine wame toa wito kwa kuanzishwa kwa sauti yawa Aboriginal na wanavisa wa Torres Strait bungeni kupitia mafanikio katika kura ya maoni.
-
Dj Swazz Damu "wafanya biashara watapata hasara kubwa baada ya Kenya kuchujwa kutoka Rugby7s"
25/05/2023 Duration: 07minWapenzi wa mchezo wa raga wa wachezaji saba, wanaendelea kukabiliana na taarifa ya timu ya taifa ya Kenya kushuka daraja katika mchezo wakimataifa wa raga.
-
Taarifa ya Habari 23 Mei 2023
23/05/2023 Duration: 19minMweka hazina wa shirikisho ametetea afueni yake ya gharama ya maisha kupitia bajeti, wakati viwango vya riba vina ongezeka pamoja na mfumuko wa bei kuongezeka naku waathiri wa australia wengi.
-
Jay "kuchujwa kwa Kenya kutoka Rugby 7s yakimataifa, ni pigo na ishara ya ukuaji wa mchezo huo"
23/05/2023 Duration: 08minTaarifa ya timu ya taifa ya raga ya wachezaji saba ya Kenya, kushushwa daraja imepokewa kwa huzuni kubwa miongoni mwa mashabiki na wadau wa mchezo huo.
-
Taarifa ya Habari 21 2023
21/05/2023 Duration: 18minUpinzani wa shirikisho waukosoa mpango wa Waziri Mkuu, kufanya ziara China kabla ya vikwazo vyote vya kibiashara kuondolewa dhidi ya Australia.
-
Mahasimu Sudan wakubali kusitisha vita kwa siku 7
21/05/2023 Duration: 06minPande hasimu nchini Sudan, zimekubaliana kusitisha mapigano kwa siku saba kuanzia Jumatatu.
-
Taarifa ya Habari 16 Mei 2023
16/05/2023 Duration: 18minWaziri Mkuu ametupilia mbali madai kuwa sera yamakazi ya serikali, ita andikwa tena katika kongamano lakitaifa la chama cha Labor.
-
Kiongozi wa upinzani adai mpango wa uhamiaji katika bajeti utaongeza mzozo wa makazi
16/05/2023 Duration: 10minKiongozi wa upinzani Peter Dutton amekosoa bajeti ya serikali ya Labor ya 2023, akisema haifanyi chochote kusaidia Australia ya kati.
-
Je, ni nini athari ya bajeti ya 2023 kwa jumuiya za tamaduni nyingi
15/05/2023 Duration: 11minMara nyingi huwa tunazungumza kuhusu bajeti, kwa misingi ya washindi na wanao poteza.
-
Taarifa ya Habari 14 Mei 2023
14/05/2023 Duration: 19minPendekezo la upinzani wa shirikisho kuruhusu wanao pokea malipo ya ustawi kufanya kazi kwa muda mrefu zaidi, kabla wapoteze malipo yao limekosolewa kama wazo lisilo na mashiko.
-
Labor yatoa bajeti yenye ziada na afueni kwa gharama ya maisha
14/05/2023 Duration: 09minKushusha gharama za maisha ya watu nchini Australia, ni lengo kuu la bajeti ya shirikisho ya 2023.
-
Jinsi ya kutatua mizozo na majirani wako nchini Australia
11/05/2023 Duration: 11minNyumbani ni sehemu ambako tuna hisi starehe zaidi.
-
Mercy "hatuhisi faida zakuwa sehemu ya jumuiya yamadola"
11/05/2023 Duration: 10minSherehe yakutawazwa kwa Mfalme Charles lll ilishuhudiwa na mamilioni yawatu kote duniani.