Synopsis
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
Episodes
-
Changamoto zinazoandama mipango ya bima ya afya katika mataifa ya Afrika
12/11/2024 Duration: 10minNchini #kenya ,wagonjwa wengi wanaendelea kutaabika kupata huduma za afya kufuatia changamoto zinazotokana na utekelezwaji wa mpango mpya wa afya ,SHIF Hali hii ndiyo pia inayokumba nchi nyingi za Afrika zinazojaribu kutekeleza mipango ya afya inayosimamiwa na serikali.
-
Viwango vya umaskini nchini Uganda vimeongezeka mno ,yasema ripoti mpya
11/11/2024 Duration: 08minUmaskini umeendelea kukithiri katika baadhi ya maeneo nchini Uganda Ripoti ya shirika moja lisilo la kiserikali nchini #Uganda, inayoonesha kuwa karibu asilimia 68 ya raia nchini humo wanapata ugumu kujikimu kimaisha kutokana umasikini.
-
Maoni ya waskilizaji kuhusu taarifa zetu juma hili
09/11/2024 Duration: 09minKila Ijumaa rfi kiswahili inakupa nafasi kuchangia mada yoyote kuhusu taarifa zetu au kile kinachoendelea hapo ulipo. Haya ni maoni ya waskilizaji wetu juma hili.