Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Taarifa ya Habari 8 Oktoba 2024
08/10/2024 Duration: 19minWa Australia wanao rejea nchini kutoka Lebanon katika ndege za kwanza zilizo kodishwa na serikali ya shirikisho wame wasili mjini Sydney.
-
Matt "wakenya hawataki Gachagua aondolewe mamlakani"
08/10/2024 Duration: 05minWikendi iliyopita wakenya wanao ishi Sydney, New South Wales walijumuika katika kitongoji cha Chester Hill kwa mkutano maalum.
-
Lydia "ukiwa Africultures nikama umetembea Afrika nzima"
08/10/2024 Duration: 09minMaelfu ya wa Australia wenye asili ya Afrika, kwa mwaka mwingine wali jumuika katika viwanja vya Sydney Olympic Park kuhudhuria tamasha ya Africultures.
-
Taarifa ya Habari 4 Oktoba 2024
04/10/2024 Duration: 17minIdara ya Afya ya New South Wales ina wahamasisha watu wanao stahiki wapate dozi zao mbili za chanjo za mpox sasa hivi, wasiwasi unapo endelea kuwa kuhusu ongezeko ya kesi na wanao lazwa hospitalini jimboni humo.
-
Jinsi yakupata mkopo wa kununua nyumba Australia
04/10/2024 Duration: 12minKununua nyumba kawaida ni moja ya ununuzi mkubwa katika maisha ya mtu.
-
Taarifa ya habari 1 Oktoba 2024
01/10/2024 Duration: 19minWaangalizi wa watumiaji wa Australia wanatarajiwa kupokea jeki ya dola milioni 30, kuchukua hatua kwa matendo ya kuongeza bei kutoka kwa maduka makubwa na wauzaji reja reja.
-
Francis "Openmaps Global Study imeziba pengo katika utoaji wa elimu ya juu Australia"
01/10/2024 Duration: 09minSekta ya elimu ya juu nchini Australia, ina thamani yama bilioni ya dola.
-
Taarifa ya Habari 20 Septemba 2024
20/09/2024 Duration: 16minMswada wa serikali ya shirikisho waku ongeza malipo ya uzeeni katika likizo ya wazazi yenye malipo ime idhinishwa na bunge.
-
Prof Chacha "kuendelea kuahirisha uchaguzi hakuta leta amani au mafanikio Sudan Kusini"
20/09/2024 Duration: 07minKwa mara nyingine uchaguzi mkuu wa Sudan Kusini ume ahirishwa hadi Disemba 2026.
-
Francis "wakati wakubadilisha shule ni sasa"
18/09/2024 Duration: 10minIdadi ya wanafunzi wakimataifa itapunguzwa mwaka ujao, serikali inapojaribu kupunguza uhamiaji wa ng’ambo.
-
Taarifa ya Habari 17 Septemba 2024
17/09/2024 Duration: 18minMwanaume anaye shukiwa kuhusika katika jaribio laku muuwa Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, amefunguliwa mashtaka ya uhalifu wakutumia bunduki.
-
Kinyua "karibuni tusherehekee uafrika wetu kupitia soka ACT"
13/09/2024 Duration: 07minWanachama wa jumuiya yawa Afrika wanao ishi Canberra, ACT wanajiandaa kushiriki katika kombe la Afrika kesho Jumamosi 14 Septemba 2024.
-
Taarifa ya Habari 13 Septemba 2024
13/09/2024 Duration: 17minMdhibiti wa vyombo vya habari nchini, atapewa mamlaka yakuchukua hatua dhidi ya makampuni ya teknolojia kama Meta na X, kwa usambazaji wa habari potofu na habari feki katika mitandao yao.
-
Upinzani watishia maandamano iwapo wanachama wao hawata achiwa huru Tanzania
13/09/2024 Duration: 08minChama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kimetishia kuanzisha maandamano makubwa zaidi, tangazo linalokuja baada ya kutuhumu mamlaka kwenye taifa la Afrika Mashariki kwa kuwauua na kuwateka wanachama wake.
-
Taarifa ya Habari 10 Septemba 2024
10/09/2024 Duration: 17minWauguzi na wakunga kote jimboni New South Wales, wanao ondoka kazini leo Jumanne 10 Septemba, kinyume na amri za tume ya mahusiano ya serikali ya viwanda kusitisha mgomo maramoja.
-
Embracing the wisdom of traditional Indigenous medicine - Kukumbatia maarifa ya tiba ya asili
09/09/2024 Duration: 10minUnderstanding and respecting Indigenous knowledge of medicine may be the key to providing more holistic and culturally sensitive care in today's healthcare setting. - Kuelewa nakuheshimu maarifa ya tiba ya asili, inaweza kuwa muhimu kwa kutoa kutoa huduma kamili na inayo faa kitamaduni katika mazingira yakisasa ya huduma ya afya.
-
#39 Kuwasilisha marejesho yako ya ushuru | Vidokezo vyakudai gharama (Adv)
09/09/2024 Duration: 17minJifunze jinsi yakuzungumza kuhusu marejesho ya ushuru. Pia jua jinsi punguzo ya ushuru inaweza kusaidia kupunguza bili yako ya ushuru.
-
Waganga wakienyeji walikata viungo vya Jessy na George, sasa madaktari wa Australia wanarejesha afya yao
05/09/2024 Duration: 11minUshirikina umefanywa kwa mufa mrefu kote nchini Uganda.
-
Sekta ya elimu ya juu yasema wanafunzi wakimataifa wamekuwa 'lishe ya mzinga' katika mjadala wa uhamiaji
03/09/2024 Duration: 10minIdadi ya wanafunzi wakimataifa itawekewa vikomo mwaka ujao, serikali inapojaribu kupunguza uhamiaji wa ng’ambo.
-
Taarifa ya Habari 3 Septemba 2024
03/09/2024 Duration: 16minData ya hivi karibuni imeonesha kwa sasa ni ghali zaidi kununua nyumba Adelaide au Perth kuliko Melbourne.