Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Kiongozi wa Queensland atetea mabadiliko ya haki ya vijana yenye misimamo mikali
06/12/2024 Duration: 06minKiongozi wa Queensland na Mwanasheria Mkuu wame tetea mageuzi ya haki ya vijana yenye utata ya jimbo hilo, licha ya ukosoaji kutoka wadau na Umoja wa Mataifa.
-
Taarifa ya Habari 6 Disemba 2024
06/12/2024 Duration: 21minKura mpya ya maoni inadokeza kiongozi wa upinzani Peter Dutton, ana elekea kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu ujao.
-
Australia yabadilisha msimamo wa miaka 20 kwa uvamizi wa Israel katika maeneo ya Palestine
06/12/2024 Duration: 06minAustralia imebadilisha msimamo wayo kwa azimio la Umoja wa Mataifa, linalo taka Israel isitishe kukalia kwa mabavu maeneo ya wapalestina.
-
Mh JP Mwirigi "ili nchi ipate heshima yake, kuna miundombinu lazima ijenge"
03/12/2024 Duration: 13minMaamuzi ya utoaji wa kandarasi ya ukarabati ya baadhi ya miundombinu, yame iweka serikali ya Kenya chini ya shinikizo kubwa hivi karibuni.
-
Taarifa ya Habari 3 Disemba 2024
03/12/2024 Duration: 19minUmoja wa Mataifa ume ongeza sauti yake kwa wimbi la ukosoaji dhidi ya sheria mpya za Queensland, shirika hilo limesema sheria hiyo inaonesha "kupuuza kwa wazi" kwa hazi za watoto.
-
Kuelewa jinsi maduka ya dawa yanavyo fanya kazi Australia
03/12/2024 Duration: 16minNchini Australia, wafamasia hutoa dawa zilizo agizwa nama daktari pamoja na ushauri wa huduma ya afya, kuelimisha jumuiya kuhusu matumizi salama ya dawa na kuzuia ugonjwa.
-
Taarifa ya Habari 29 Novemba 2024
29/11/2024 Duration: 18minWaziri Mkuu amekataa kuweka wazi jinsi mamlaka yaku wafurusha watu katika nchi ya tatu yata tumiwa.
-
Hoja ya mamlaka yatishia mazungumzo yaku unda serikali ya mseto ya Sudan Kusini
29/11/2024 Duration: 07minMazungumzo ya kuunda serikali ya mseto Sudan Kusini, yame kwama baada ya pande husika kuto afikiana kuhusu jinsi wata wagawa mamlaka.
-
Taarifa ya Habari 26 Novemba 2024
26/11/2024 Duration: 15minMchumi mmoja amesema mpango wa usawa wa pamoja waku saidia kununua nyumba wa serikali, hauta leta tofauti kubwa katika soko la nyumba la Australia.
-
Nini hutokea unapo itwa kuhudumu katika baraza la waamuzi
26/11/2024 Duration: 13minKila raia wa Australia ambaye yuko katika sajili ya kupiga kura, anaweza itwa kuhudumu katika baraza la waamuzi, hatua inayo julikana pia kama wajibu wa baraza la waamuzi.
-
Mh JP Mwirigi "nili ota nina soma muswada bungeni"
19/11/2024 Duration: 27minMh John Paul Mwirigi ana nafasi yakipekee katika vitabu vya kumbukumbu ya bunge la Kenya.
-
Taarifa ya Habari 19 Novemba 2024
19/11/2024 Duration: 18minRipoti kuhusu mshikamano wakijamii imepata, kuna mitazamo michache chanya, kwa dini kote jimboni katika makundi yote makubwa ya imani.
-
Elewa sheria za chanjo za watoto nchini Australia
19/11/2024 Duration: 14minKuhakikisha mtoto wako anachanjwa humlinda, na inafaida kwa kila mtu wa karibu yake, wataalam wamesema.
-
Taarifa ya Habari 15 Novemba 2024
15/11/2024 Duration: 19minAustralia ime unga mkono azimio la Umoja wa Mataifa, lakutambua mamlaka yakudumu ya watu wa Palestina kwa mara ya kwanza katika miongo mbili.
-
Jinsi yakupata akaunti ya benki inayo kufaa
15/11/2024 Duration: 11minKama una kazi, unapokea mafao ya serikali au unataka lipa bili zako kwa urahisi, utahitaji akaunti ya benki. Unaweza hitaji hata zaidi ya akaunti moja.
-
Barua ya marekebisho ya katiba yawasilishwa Bungeni DRC
15/11/2024 Duration: 07minBunge la DRC limepokea barua ya kukagua muda wa muhula wa rais na mageuzi ya mahakama ya Kongo.
-
Taarifa ya Habari 12 Novemba 2024
12/11/2024 Duration: 16minWaziri Mkuu Anthony Albanese ametoa pongezi kwa mkongwe wa vita vya Vietnam Richard Norden, ambaye amepewa tuzo baada ya kufa ya ngazi ya juu zaidi ya jeshi la Australia ya Victoria Cross.
-
Dj Mozz "Nataka kipaji changu kinifikishe katika tamasha zakimataifa"
12/11/2024 Duration: 13minDj Mozz ni mmoja wa vijana, wenye jina kubwa katika sekta ya burudani nchini Australia.
-
Taarifa ya Habari 8 Novemba 2024
08/11/2024 Duration: 19minWaziri Mkuu Anthony Albanese ame sisitiza umuhimu wakutetea demokrasia katika hotuba yake, kwenye kongamano la wabunge wa jumuiya yamadola.
-
Harris au Trump? wamarekani watoa hukumu yao
05/11/2024 Duration: 09minTakwimu kutoka tume ya uchaguzi ya Marekani, zina onesha watu wengi zaidi wame piga kura mwaka huu 3wa 2024 kuliko katika chaguzi zingine katika historia ya nchi hiyo.