Jukwaa La Michezo

  • Author: Vários
  • Narrator: Vários
  • Publisher: Podcast
  • Duration: 9:31:28
  • More information

Informações:

Synopsis

Makala haya yanaangazia maendeleo ya michezo mbalimbali Ulimwenguni na pia huwa haiwaweki kando wanamichezo waliobobea na vilevile kufanya uchanganuzi wa kina wa michezo wakati wa mashindano mbalimbali. 

Episodes

  • Waafrika wa kutazama kwenye Mashindano ya Riadha ya Dunia huko Tokyo, Japan

    13/09/2025 Duration: 23min

    Tuliyokuandalia ni pamoja na kuanza kwa mashindano ya riadha ya dunia, michuano ya Cecafa inayoendelea kwa kina dada na wanaume, Simba Day na Yanga Day huko Tanzania, michuano ya basketboli ya Afrika ya wavulana wasiozidi miaka 16, kinachotarajiwa baada ya rabsha katika mechi ya DRC na Senegal

  • Morocco ni timu ya kwanza ya Afrika kufuzu Kombe la Dunia la mwaka 2026

    06/09/2025 Duration: 24min

    Tuliyokuandalia leo ni pamoja na uchambuzi wa matokeo ya mechi za kufuzu kombe la dunia la mwaka ujao, mechi za kufuzu mashindano ya vilabu bingwa kwa kina dada ukanda wa CECAFA, mashindano ya CECAFA Kagame Cup, wanariadha watatu wa Uganda kukosa Riadha za Dunia mwezi huu nchini Japan, rais wa Marekani Donald Trump kuhudhuria fainali ya wanaume ya US Open, Luis Suarez apewa adhabu ya mechi sita baada ya kumtemea mate mwanachama wa benchi la ufundi ya klabu ya Seattle Sounders.

  • CHAN 2024: Nani atashinda kati ya Morocco na Madagascar ?

    30/08/2025 Duration: 20min

    Morocco na Madagascar zinachuana katika fainali ya mchezo wa CHAN 2024. Hii ni michuano inayowashirikisha wachezaji wanaoshiriki ligi za ndani. Fainali hii inachezwa kwenye uwanja wa Kimataifa wa Kasarani, Agosti 30 2025. Wanamichezo wetu Jason Sagini na Paul Nzioki, wanachambua kutoka uwanjani.

  • CHAN 2024: Wenyeji Kenya, Uganda na Tanzania watupwa nje ya mashindano

    23/08/2025 Duration: 23min

    Leo tumekuandalia mengi ikiwemo kubanduliwa kwa Kenya na Tanzania kwenye michuano ya CHAN katika hatua ya robo fainali, michuano ya basketboli ya Afrika ya wanaume imeingia hatua ya nusu fainali, shirikisho la soka nchini Sudan Kusini limetangaza tarehe mpya ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi ya wanawake, Wan Bissaka ajumuishwa katika kikosi cha soka cha DRC, Mohammed Salah ashinda tuzo la mchezaji bora wa wachezaji kwa mara nyingine.

page 2 from 2