Habari Za Un

Mkuu wa ofisi ya OCHA Tom Fletcher aeleza aliyoyashuhudia ziara yake ya kwanza Mashariki ya Kati

Informações:

Synopsis

Mkuu wa ofisi ya  Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Misaada ya Dharura, OCHA, Tom Fletcher akihitimisha ziara yake ya kwanza katika eneo la Mashariki ya kati tangu hivi karibuni alipochukua wadhifa huo ameeleza kuwa alichokishuhudia katika ukanda huo ni hali tete. Selina Jerobon anaeleza zaidi.