Gurudumu La Uchumi

Ugunduzi wa tekonolojia ya akili mnemba teknolojia nyingine na mchango wake kwa ukuaji wa uchumi

Informações:

Synopsis

Msikilizaji kwa mujibu wa Jukwaa la dunia la uchumi, World Economic Forum, ujio wa teknolojia mpya kama akili mnemba (Artuificial inteligency), ikiwa zitatumika vizuri, zitasaidia kujenga uchumi wenye ushindani, unaostahimili changamoto na endelevu.Katika makala ya gurudumu la uchumi juma hili, tunajadili Kuibuka au ugunduzi wa teknolojia na ushawishi wake katika kukuza uchumi.