Sbs Swahili - Sbs Swahili

Taarifa ya Habari 27 Novemba 2022

Informações:

Synopsis

Chama cha Labor cha sherehekea ushindi wa tatu katika uchaguzi wa Victoria, hali ambayo ime mfanya kiongozi wa upinzani wa mseto kujiuzulu baada yakushindwa mara mbili mfululizo.