Sbs Swahili - Sbs Swahili
Yves "Ukiwa na wengine unaweza fika mbali zaidi"
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:08:46
- More information
Informações:
Synopsis
Vijana wengi wenye asili ya Afrika, wame zaliwa naku kuwia katika mazingira yakidini, ila baadhi yao wanapo fika Australia. ndivyo wanavyo iacha dini hiyo nakujitenga na jamii zao.