Bongo La Biashara

Kionjo cha Kipindi cha Tatu

Informações:

Synopsis

Tegea kipindi cha Bongo La Biashara. Tutaangazia jinsi wanabiashara kibera wanavyopata fedha za kuanzisha na kukuza biashara zao. Jiunge nasi upate burudani na mafunzo kemukemu.