Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Ukulima wa mianzi katika kutunza mazingira ya mito nchini Kenya.
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:09:57
- More information
Informações:
Synopsis
Mimea ya mianzi yaani Bamboo ni mojawapo ya mimea kote ulimwenguni inayoweza kupandwa katika mazingira tofauti kama vile sehemu tambarare au chemichemi. Ukulima wa mianzi unaboresha mazingira kwa kuzuia mmomonyoko wa udongo, kurejesha rotuba kwa udongo haswaa sehemu zilizo karibu na mito na hata kama kitega uchumi.