Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Uhifadhi wa kinamasi cha Ondiri mjini Kikuyu, nchini Kenya

Informações:

Synopsis

Vijana katika shirika la uhifadhi la Marafiki wa ardhi oevu ya Ondiri, ambayo ni nyumbani kwa viumbe hai na bayoanuai yenye umuhimu katika mazingira. Katika mazingira, maeneo haya yanya faida kama vile,  kufanya kazi kama sponji ya kunyonya hewa ukaa kutoka kwenye anga zaidi ya misitu ya mvua. Hutumika kama makazi ya aina tofauti ya spishi ya viumbe hai lakini pia ni mazalia ya samaki. Ardhi oevu pia hupunguza athari za mafuriko na kusafisha maji machafu.