Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mfumo wa sola tembezi wanufaisha wakulima maeneo kame nchini Kenya
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:10:01
- More information
Informações:
Synopsis
Katika maeneo mengi ya kusini mashariki mwa Kenya, ukame na mvua zisizotabirika zimekuwa changamoto kubwa kwa wakulima. Hata hivyo, katika kijiji cha Gachuriri, Mbeere, teknolojia rahisi ya umwagiliaji mimea maji kwa kutumia sola tembezi inayotumia nishati ya jua inaanza kubadili kilimo na kurejesha matumaini kwa wakulima wadogo.