Jioni - Voice Of America
Pakistan imesitisha huduma za simu za mkononi na internet katika maeneo yenye wasiwasi wa usalama. - Novemba 24, 2024
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:30:00
- More information
Informações:
Synopsis
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.