Jioni - Voice Of America

Uchaguzi wa serikali za mitaa unatarajiwa kufanyika Jumatano katika maeneo yote ya Tanzania bara. - Novemba 26, 2024

Informações:

Synopsis

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.