Jioni - Voice Of America

Serikali ya Bangladesh imebatilisha vitambulisho vya waandishi wa habari kwa darzeni ya waandishi - Novemba 10, 2024

Informações:

Synopsis

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.