Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Hali ya mafuriko katika nchi za Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika

Informações:

Synopsis

Kulingana na jumuiya ya IGAD,  zaidi ya vifo 190 vimeriotiwa  katika eneo la pembe ya Afrika, huku watu wengine laki 7 wakiyahama makazi yao.