Jukwaa La Michezo
AFCON 2024: DRC na Nigeria zatinga hatua ya nusu fainali
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:23:54
- More information
Informações:
Synopsis
Miongoni mwa yale tuliyokuandalia ni pamoja na taifa la DR Congo pamoja na Nigeria kufuzu kwa hatua ya nusu fainali katika michuano ya kuwania taji la soka kwa mataifa ya bara Afrika. Dereva wa magari ya langalanga Lewis Hamilton kuhamia katika timu ya Ferrari kutoka Mercedes mwaka 2025.