Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Matumizi ya pikipiki za umeme katika kusaidia kupunguza utoaji wa hewa ya kaboni kwenye mazingira

Informações:

Synopsis

Wiki chache zilizopita, tulikuletea makala kuhusu pikipiki za umeme, na kupitia ukurasa wetu wa Facebook RFI KIswahili, tukawa na maswali mengi kuhusu pikipiki hizi. Katika makala haya tumemwalika, Raymond Kitunga, kutoka kampuni nyingine inayotengeneza pikipiki za umeme, Spiro Kenya, na hapa atakuwa anayajibu baadhi ya maswali kuhusu pikipiki hizi za umeme.