Changu Chako, Chako Changu

Utamaduni wa kupenda kujifunza lugha na msanii kutoka Burundi Mistachampagne

Informações:

Synopsis

Makala haya mtangazaji wako Ali Bilali amezungumza na vijana wanafunzi na waalimu wa lugha ya kifaransa kuangazi utamaduni wa kujifunza lugha hususan lugha ya Kifaransa, wakati mwenye kipengele cha Muziki amempokea mwanamuziki kutoka nchini Burundi Mistachampagne ambae anazuri jiji la Nairobi nchini Kenya kwa ajili ya shughuli zake za kimuziki.