Jukwaa La Michezo
CAF yaongeza kiwango cha fedha kwa mshindi wa AFCON 2024
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 0:23:56
- More information
Informações:
Synopsis
Miongoni mwa yale tuliyokuandalia ni pamoja na uchambuzi wa Shirikisho la soka barani Afrika CAF kuongeza kiwango cha fedha kwa mshindi wa michuano ya AFCON, itakayoanza Januari 13 nchini Cote Dvoire, Bondia wa DRC Martin Bakole aomba mchango wa fedha kushiriki mechi za mkanda wa WBA, matokeo ya Mapinduzi Cup na kombe la Amani visiwani Zanzibar na Brazil yamfuta kazi kocha Fernando Diniz.