Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Author: Vários
- Narrator: Vários
- Publisher: Podcast
- Duration: 117:35:31
- More information
Informações:
Synopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodes
-
Je! Ni sahihi kwa Tanzania kuwa na siku 5 zamaombolezi ya Malkia Elizabeth II?
12/09/2022 Duration: 22minTangazo la serikali ya Tanzania kuwa na siku 5 zakuomboleza kifo cha Malkia Elizabeth II, limepokewa kwa hisia mseto ndani na nje ya taifa hilo la Afrika Mashariki.
-
Taarifa ya Habari 11 Septemba 2022
11/09/2022 Duration: 16minMfalme Charles III ametangazwa rasmi kama kiongozi mpya ya Australia, katika sherehe maalum ndani ya Bunge la Taifa mjini Canberra.
-
George: "Tunaomba Rais Ruto alete pamoja waliompigia kura na ambao hawakumpigia kura"
08/09/2022 Duration: 14minKenya imejipata kwenye njia panda, nusu ya nchi ikijawa furaha na nusu ya nchi ikijawa majonzi kufuatia uamuzi wa Mahakama ya Upeo ya taifa hilo.
-
SBS Swahili Mubashara 6 Septemba 2022
07/09/2022 Duration: 52minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
Bunge la anza vikao kwa kukabili maswala ya ustawi
06/09/2022 Duration: 07minSerikali ya shirikisho iko chini ya shinikizo kuongeza kiwango cha malipo ya jobseeker, juu ya kiwango kilichopo gharama ya maisha nchini Australia inapo endelea kuongezeka.
-
Taarifa ya Habari 6 Septemba 2022
06/09/2022 Duration: 18minSerikali ya shirikisho yashinikizwa iongeze muda wa makato ya kodi ya mawese, ambayo imeratibiwa kuisha mwisho wa mwezi huu.
-
Raila na Ruto kujua hatma ya ndoto zao zakuwa Rais
05/09/2022 Duration: 06minVinara wa mirengo yakisiasa nchini Kenya wanasubiri kwa hamu, kujua maamuzi ya mahakama ya upeo kwa maombi iliyo pokea kuhusu matokeo ya uchaguzi mkuu.
-
Wafanyakazi wako tayari kuwasili Australia kujaza mapengo ya ajira
04/09/2022 Duration: 07minSerikali ya shirikisho imesema ita harakisha ujio wa wafanyakazi kutoka visiwa vya Pasifiki nchini Australia, kwa ajili yaku shughulikia uhaba mkubwa wa wafanyakazi katika sekta ya kilimo.
-
Taarifa ya Habari 4 Septemba 2022
04/09/2022 Duration: 18minMpango wa chama cha Labor kuzuia waajiri, kufuta makubaliano ya ajira yakasirisha upinzani wa shirikisho.
-
Emma: "Nilipelekwa mahakamani kwa sababu ya nyumba yaku kodi"
01/09/2022 Duration: 12minWanachama wengi wa jamii zawa Afrika wanao ishi Australia, wamepitia uzoefu wakukosa nyumba za kodi zinazo faa familia zao.
-
SBS Swahili Mubashara 30 Agosti 2022
01/09/2022 Duration: 53minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
Liverpool yatoa kichapo chakihistoria
31/08/2022 Duration: 11minLigi kuu ya soka ya Uingereza huvutia mamilioni yamashabiki kote duniani.
-
Taarifa ya Habari 30 Agosti 2022
30/08/2022 Duration: 19minSerikali ya shirikisho itaendelea na mpango wamakato ya kodi, kwa wanao pokea mishahara mikubwa, licha ya ukosoaji mkali kutoka bungeni.
-
Simamisha mzunguko wa vurugu, kuwa mfano chanya
30/08/2022 Duration: 13minNi mara ngapi tumesikia usemi kuwa, “wavulana watakuwa wavulana” au “ni sawa, alifanya hivyo kwa sababu anakupenda”, kuhusu tabia za kukosa heshima au vurugu dhidi ya wasichana au wanawake?
-
Taarifa ya Habari 28 Agosti 2022
28/08/2022 Duration: 16minSwala la afya laendelea kuwa hoja mhimu katika kampeni za uchaguzi wa Victoria, serikali ya jimbo hilo kulipa karo ya wanafunzi wa uuguzi.
-
Utofauti waleta sauti mpya
26/08/2022 Duration: 05minHip hop na muziki wa Drill imekuwa maarufu katika miaka ya hivi karibuni nchini Australia na, wasanii nchini watashiriki katika tamasha itakayo andaliwa katika kitongoji cha Sydney chenye tamaduni nyingi cha Parramatta.
-
SBS Swahili Mubashara 23 Agosti 2022
25/08/2022 Duration: 53minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
Taarifa ya Habari 23 Agosti 2022
23/08/2022 Duration: 16minBaraza la mawaziri la shirikisho la agiza uchunguzi kwa jinsi, waziri mkuu wa zamani alijiteua kusimamia wizara kadhaa.
-
Je! Azimio One Kenya watafanikiwa kubatilisha matokeo ya uchaguzi mkuu?
23/08/2022 Duration: 07minMrengo wakisiasa wa Azimio One Kenya unajiandaa kuwasilisha ombi lakubatilisha matokeo ya uchaguzi mkuu nchini humo.
-
Waendesha magari kukabiliwa kwa ongezeko ya bei ya mafuta baada ya makato yamuda ya kodi ya mafuta kuisha
22/08/2022 Duration: 05minMoja ya hatua ambayo imesaidia kupunguza gharama ya maisha, nikupunguzwa mara mbili kwa muda kwa kodi ya petroli.